Friday, March 2, 2012
INTAKE MPYA YA MASOMO YA ACTING IMEANZA
Kufuatia kukaribia kumaliza mafunzo ya miezi mitatu kwa wanafunzi wa kozi ya Acting,Sasa TFTC imeanza kuchukua wanafunzi wapya wa kozi ya acting ambayo itaanza mapema mwezi ujao..Kwa mawasiliano zaidi piga 0712723600.
Wednesday, February 15, 2012
UZINDUZI RASMI WA TFTC,PAMOJA NA KUKABIDHIWA CHETI CHA USAJILI KUTOKA SERIKALINI
Mgeni rasmi kutoka Balaza la sanaa la Taifa,akiongea kabla yakukabidhi cheti kwa mkurugenzi wa TFTC bwana Emmanuel Myamba
Wageni waalikwa kutoka sehemu mbali mbali na baadhi ni wazani wa wanafunzi.
Mwanafunzi wa TFTC kisoma risala mbele ya mgeni rasmi..
Akikabidhi risala kwa mgeni rasmi...
Mkurugenzi wa TFTC akiongea machache kabla ya mgeni rasmi kujibu risala aliyosomewaWanafunzi wa TFTC
Mgeni rasmi akijibu aliyosomewa na kuahidi kuwa BASATA itakuwa jirani sana na TFTC na itakuwa mlezi na pia itaipa TFTC dira ili kutimiza malengo yake..
Wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini
Mgeni rasmi akimkabidhi cheti cha usajiri wa TFTC
wanafunzi wa TFTC
Mkurugenzi wa TFTC bwana Emmanuel Myamba
Kanumba akisign daftari la wageni
Steven Kanumba akitoa maneno machache,akielezea umuhimu wa elimu katika sanaa na kupongeza juhudi za TFTC katika kutoa elimu kwa wasanii
Steve Kanumba mkurugenzi wa Kanumba The Great Company akiongea machache!! kwa wageni waalikwa na wanafunzi.
Friday, February 3, 2012
HAPPY BIRTHDAY HAPPY MTUYA..STUDENT CLASS B
Ilikuwa ni bonge la Surprise kutoka kwa wanafunzi wenzake...
Happy Mtuya!!
Happy anamlisha mmoja wa wanafunzi wenzake.
Sunday, January 22, 2012
MAJENGO YANAPOFANYIKA MAFUNZI YA CHUO CHA TANZANIA FILM TRAINING CENTER (TFTC).
Baadhi ya wanafunzi wakiwa darasani,mbele yao ni mmoja kati ya wakufunzi wa mafunzo haya
Bw.Edger Ngelela.
Bw.Edger Ngelela.
Thursday, January 19, 2012
UGENI MZITO KUTOKA BARAZA LA SANAA TANZANIA (BASATA), UMETEMBELEA OFISI ZA TFTC.
Wa kwanza kushoto mwenye shati la buluu ni Mh. Angelo Luhara,mkurugenzi idara ya ukuzaji sanaa BASATA,Anaefuatia ni mkurugenzi wa Taasisi ya TFTC Mh.Emmanuel Myamba,anaefuatia mwenye fulana nyeupe ni Afisa mtendaji wa BASATA,Mh Malimi Mashiri na wamwisho mkono wa kulia ni Mratibu na afisa utawala wa taasisi ya TFTC, Mh. Wilson Makubi.
Monday, January 16, 2012
MH. RAIS WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA (TAFF),MH SIMON MWAKIFYWAMBA NA MH.JOHN KITIME RAIS WA WANAMTANDAO WA MUZIKI TANZANIA WATEMBELEA CHUO CHA TFTC
Wanafunzi wa TFTC wakiwa darasani..
Wanafunzi wakiusubiria Ugeni kuwasili...
Wakitoka kupokelewa Mh.Rais wa shirikisho la Filamu Tanzania na Mh.John Kitime wakiwa wanaingia darasani kwenda kusema maneno machache na wanafunzi wa TFTC
Mkono wa kushoto mwenye shati jeupe,bwana Wilson Makubi, mratibu wa TFTC,anaefuatia aliyevaa kofia ni Mh.John Kitime Rais wa wanamtandao wa Muziki,anaefuatia alievaa tai ni Mh.Rais wa TAFF,na wa mwisho kulia ni Mkurugenzi wa TFTC Bwana Emmanuel Myamba.
Mratibu akisema machache kabla yakumkaribisha Mkurugenzi wa TFTC
Akimkaribisha Mkurugenzi wa TFTC
Mkurugenzi akieleza nini malengo wa TFTC,na kwa namna gani imepanga kuleta mabadiliko katika tasnia ya filamu nchini,na pia alikuwa akieleza utaratibu mzima wa masomo yatakayotolewa hapo.

Subscribe to:
Posts (Atom)