Mgeni rasmi kutoka Balaza la sanaa la Taifa,akiongea kabla yakukabidhi cheti kwa mkurugenzi wa TFTC bwana Emmanuel Myamba
Wageni waalikwa kutoka sehemu mbali mbali na baadhi ni wazani wa wanafunzi.
Mwanafunzi wa TFTC kisoma risala mbele ya mgeni rasmi..
Akikabidhi risala kwa mgeni rasmi...
Mkurugenzi wa TFTC akiongea machache kabla ya mgeni rasmi kujibu risala aliyosomewaWanafunzi wa TFTC
Mgeni rasmi akijibu aliyosomewa na kuahidi kuwa BASATA itakuwa jirani sana na TFTC na itakuwa mlezi na pia itaipa TFTC dira ili kutimiza malengo yake..
Wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini
Mgeni rasmi akimkabidhi cheti cha usajiri wa TFTC
wanafunzi wa TFTC
Mkurugenzi wa TFTC bwana Emmanuel Myamba
Kanumba akisign daftari la wageni
Steven Kanumba akitoa maneno machache,akielezea umuhimu wa elimu katika sanaa na kupongeza juhudi za TFTC katika kutoa elimu kwa wasanii
Steve Kanumba mkurugenzi wa Kanumba The Great Company akiongea machache!! kwa wageni waalikwa na wanafunzi.