Monday, January 16, 2012

MH. RAIS WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA (TAFF),MH SIMON MWAKIFYWAMBA NA MH.JOHN KITIME RAIS WA WANAMTANDAO WA MUZIKI TANZANIA WATEMBELEA CHUO CHA TFTC

Wanafunzi wa TFTC wakiwa darasani..

 Wanafunzi wakiusubiria Ugeni kuwasili...
 Wakitoka kupokelewa Mh.Rais wa shirikisho la Filamu Tanzania na Mh.John Kitime wakiwa wanaingia darasani kwenda kusema maneno machache na wanafunzi wa TFTC
 Mkono wa kushoto mwenye shati jeupe,bwana Wilson Makubi, mratibu wa TFTC,anaefuatia aliyevaa kofia ni Mh.John Kitime Rais wa wanamtandao wa Muziki,anaefuatia alievaa tai ni Mh.Rais wa TAFF,na wa mwisho kulia ni Mkurugenzi wa TFTC Bwana Emmanuel Myamba.

 Mratibu akisema machache kabla yakumkaribisha Mkurugenzi wa TFTC

 Akimkaribisha Mkurugenzi wa TFTC



 Mkurugenzi akieleza nini malengo wa TFTC,na kwa namna gani imepanga kuleta mabadiliko katika tasnia ya filamu nchini,na pia alikuwa akieleza utaratibu mzima wa masomo yatakayotolewa hapo.






No comments:

Post a Comment