Thursday, May 10, 2012

GOD'S KINGDOM..


Wanafunzi wa TFTC wameanza masomo yao kwa vitendo baada ya kumaliza mafunzo yao ya darasani ya miezi mitatu ya mwanzo.Wanafunzi hao wameanza kwa kushut movie ya GOD'S KINGDOM ikifuatiwa na Filamu nyingine ya THINKER THAN BLOOD!..Na hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa siku ya pili ya shooting ya GOD'S KINGDOM.


PACHO MWAMBA,MEYA NA MOGAN


           DADA ZAWADI AMBAE NI MMOJA WA WANAFUNZI WA TFTC


PACHO MWAMBA,MIRIAM SHEMZIGWA AMBAYE NI (PM) NA EMMANUEL MYAMBA (DIRECTOR WA GOD'S KINGDOM)


ACTORS WAKIPOKEA MAELEKEZO KUTOKA KWA DIRECTOR.


WASANII WAKIPOKEA MAELEKEZO KUTOKA KWA DIRECTOR.


MINI STUDIO WAKATI WA SHUTING..


GODO (CAMERA MAN) NA EMMANUEL MYAMBA (DIRECTOR)

ON SET


WANAFUNZI WA TFTC WAKIONYESHA UWEZO WAO...


JOYCE HAULE NA MZEE JENGUA WAKIJIANDAA KUINGIA SHOOTING..

Friday, March 2, 2012

INTAKE MPYA YA MASOMO YA ACTING IMEANZA

Kufuatia kukaribia kumaliza mafunzo ya miezi mitatu kwa wanafunzi wa kozi ya Acting,Sasa TFTC imeanza kuchukua wanafunzi wapya wa kozi ya acting ambayo itaanza mapema mwezi ujao..Kwa mawasiliano zaidi piga 0712723600.

Wednesday, February 15, 2012

UZINDUZI RASMI WA TFTC,PAMOJA NA KUKABIDHIWA CHETI CHA USAJILI KUTOKA SERIKALINI Mgeni rasmi kutoka Balaza la sanaa la Taifa,akiongea kabla yakukabidhi cheti kwa mkurugenzi wa TFTC bwana Emmanuel Myamba
 Wageni waalikwa kutoka sehemu mbali mbali na baadhi ni wazani wa wanafunzi.

 Mwanafunzi wa TFTC kisoma risala mbele ya mgeni rasmi..


 Akikabidhi risala kwa mgeni rasmi...
 Mkurugenzi wa TFTC akiongea machache kabla ya mgeni rasmi kujibu risala aliyosomewa

 Wanafunzi wa TFTC
 Mgeni rasmi akijibu aliyosomewa na kuahidi kuwa BASATA itakuwa jirani sana na TFTC na itakuwa mlezi na pia itaipa TFTC dira ili kutimiza malengo yake..
 Wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini
Mgeni rasmi akimkabidhi cheti cha usajiri wa TFTCwanafunzi wa TFTC

Mkurugenzi wa TFTC bwana Emmanuel Myamba


Kanumba akisign daftari la wageni

Steven Kanumba akitoa maneno machache,akielezea umuhimu wa elimu katika sanaa na kupongeza juhudi za TFTC katika kutoa elimu kwa wasanii
Steve Kanumba mkurugenzi wa Kanumba The Great Company akiongea machache!! kwa wageni waalikwa na wanafunzi.

Friday, February 3, 2012

HAPPY BIRTHDAY HAPPY MTUYA..STUDENT CLASS B

 Ilikuwa ni bonge la Surprise kutoka kwa wanafunzi wenzake... Happy Mtuya!!

 Happy anamlisha mmoja wa wanafunzi wenzake.