Sunday, January 22, 2012

MAJENGO YANAPOFANYIKA MAFUNZI YA CHUO CHA TANZANIA FILM TRAINING CENTER (TFTC).

 Baadhi ya wanafunzi wakiwa darasani,mbele yao ni mmoja kati ya wakufunzi wa mafunzo haya
                                                                Bw.Edger Ngelela.








Thursday, January 19, 2012

UGENI MZITO KUTOKA BARAZA LA SANAA TANZANIA (BASATA), UMETEMBELEA OFISI ZA TFTC.

 Wa kwanza kushoto mwenye shati la buluu ni Mh. Angelo Luhara,mkurugenzi idara ya ukuzaji sanaa BASATA,Anaefuatia ni mkurugenzi wa Taasisi ya TFTC Mh.Emmanuel Myamba,anaefuatia mwenye fulana nyeupe ni Afisa mtendaji wa BASATA,Mh Malimi Mashiri na wamwisho mkono wa kulia ni Mratibu na afisa utawala wa taasisi ya TFTC, Mh. Wilson Makubi.






Monday, January 16, 2012

MH. RAIS WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA (TAFF),MH SIMON MWAKIFYWAMBA NA MH.JOHN KITIME RAIS WA WANAMTANDAO WA MUZIKI TANZANIA WATEMBELEA CHUO CHA TFTC

Wanafunzi wa TFTC wakiwa darasani..

 Wanafunzi wakiusubiria Ugeni kuwasili...
 Wakitoka kupokelewa Mh.Rais wa shirikisho la Filamu Tanzania na Mh.John Kitime wakiwa wanaingia darasani kwenda kusema maneno machache na wanafunzi wa TFTC
 Mkono wa kushoto mwenye shati jeupe,bwana Wilson Makubi, mratibu wa TFTC,anaefuatia aliyevaa kofia ni Mh.John Kitime Rais wa wanamtandao wa Muziki,anaefuatia alievaa tai ni Mh.Rais wa TAFF,na wa mwisho kulia ni Mkurugenzi wa TFTC Bwana Emmanuel Myamba.

 Mratibu akisema machache kabla yakumkaribisha Mkurugenzi wa TFTC

 Akimkaribisha Mkurugenzi wa TFTC



 Mkurugenzi akieleza nini malengo wa TFTC,na kwa namna gani imepanga kuleta mabadiliko katika tasnia ya filamu nchini,na pia alikuwa akieleza utaratibu mzima wa masomo yatakayotolewa hapo.






Thursday, January 5, 2012

MAFUNZO YAMEANZA RASMI.

Mafunzo ya acting yameanza rasmi katika mazingira mazuri,madarasa full AC,wanafunzi wakiri haya nimapinduzi mapya. Nyuma ya wadada waliokaa ni Emmanuel Myamba (mkurugenzi TFTC) kushoto, na upande wa kulia ni Wilson Makubi (Mratibu wa program hii na ni afisa utawala wa TFTC), (maana ya TFTC ni Tanzania Film Training Center).