Friday, March 2, 2012

INTAKE MPYA YA MASOMO YA ACTING IMEANZA

Kufuatia kukaribia kumaliza mafunzo ya miezi mitatu kwa wanafunzi wa kozi ya Acting,Sasa TFTC imeanza kuchukua wanafunzi wapya wa kozi ya acting ambayo itaanza mapema mwezi ujao..Kwa mawasiliano zaidi piga 0712723600.

2 comments:

  1. I mean mimi nivutiwa zaidi kuja kusoma. Hapo, bt niko dodkma am willing kulipia hata hostel. Ningependa kujua hitanigharimu kiasi gan na. Nitapate form ya kujiunga please

    ReplyDelete
  2. Naamanisha niko dodoma na ningependa kusoma hapo coz naamini nna kipajimcha kuitaji elimu kukiendeleza, na niko tayari kujakulipia hostel je. Ni kiasi gan itanigharimu ...
    Na na je kjna utaratibu upi wa kujiunga?nitashukuru kama nikijibiwa kwa muda usika

    ReplyDelete