Wednesday, February 15, 2012

UZINDUZI RASMI WA TFTC,PAMOJA NA KUKABIDHIWA CHETI CHA USAJILI KUTOKA SERIKALINI



 Mgeni rasmi kutoka Balaza la sanaa la Taifa,akiongea kabla yakukabidhi cheti kwa mkurugenzi wa TFTC bwana Emmanuel Myamba
 Wageni waalikwa kutoka sehemu mbali mbali na baadhi ni wazani wa wanafunzi.

 Mwanafunzi wa TFTC kisoma risala mbele ya mgeni rasmi..


 Akikabidhi risala kwa mgeni rasmi...
 Mkurugenzi wa TFTC akiongea machache kabla ya mgeni rasmi kujibu risala aliyosomewa

 Wanafunzi wa TFTC
 Mgeni rasmi akijibu aliyosomewa na kuahidi kuwa BASATA itakuwa jirani sana na TFTC na itakuwa mlezi na pia itaipa TFTC dira ili kutimiza malengo yake..
 Wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini
Mgeni rasmi akimkabidhi cheti cha usajiri wa TFTC



wanafunzi wa TFTC

Mkurugenzi wa TFTC bwana Emmanuel Myamba


Kanumba akisign daftari la wageni

Steven Kanumba akitoa maneno machache,akielezea umuhimu wa elimu katika sanaa na kupongeza juhudi za TFTC katika kutoa elimu kwa wasanii
Steve Kanumba mkurugenzi wa Kanumba The Great Company akiongea machache!! kwa wageni waalikwa na wanafunzi.

No comments:

Post a Comment