Thursday, May 10, 2012

GOD'S KINGDOM..


Wanafunzi wa TFTC wameanza masomo yao kwa vitendo baada ya kumaliza mafunzo yao ya darasani ya miezi mitatu ya mwanzo.Wanafunzi hao wameanza kwa kushut movie ya GOD'S KINGDOM ikifuatiwa na Filamu nyingine ya THINKER THAN BLOOD!..Na hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa siku ya pili ya shooting ya GOD'S KINGDOM.


PACHO MWAMBA,MEYA NA MOGAN


           DADA ZAWADI AMBAE NI MMOJA WA WANAFUNZI WA TFTC


PACHO MWAMBA,MIRIAM SHEMZIGWA AMBAYE NI (PM) NA EMMANUEL MYAMBA (DIRECTOR WA GOD'S KINGDOM)


ACTORS WAKIPOKEA MAELEKEZO KUTOKA KWA DIRECTOR.


WASANII WAKIPOKEA MAELEKEZO KUTOKA KWA DIRECTOR.


MINI STUDIO WAKATI WA SHUTING..


GODO (CAMERA MAN) NA EMMANUEL MYAMBA (DIRECTOR)

ON SET


WANAFUNZI WA TFTC WAKIONYESHA UWEZO WAO...










JOYCE HAULE NA MZEE JENGUA WAKIJIANDAA KUINGIA SHOOTING..









1 comment:

  1. nmekipenda sana hiki chuo.
    naomba nifahamu utaratibu wa kujiunga na kinapatikana wapi na ni kiasi gani cha ada kinahitajika na vigezo.


    Oscar pius
    simonpius9@gmail.com
    0714103300

    ReplyDelete